Post Time: 2026-03-13
Country: United States, Australia, United Kingdom. City: Fargo, Grand Prairie, Savannah, Topeka, VisaliaWakati Read More Here mabosi wa Home Yanga wakitawanyika kuashiria kumalizika kikao kizito kilichobeba ajenda za matokeo ya timu hiyo usiku wa kuamkia leo, taarifa zinasema kocha wa kikosi hicho, Miguel Gamondi hakuhudhuria. Yanga jana ilipoteza mchezo wa pili mfululizo wa Ligi Kuu Bara mbele ya Tabora United kwa mabao 3-1, baada ya wiki iliyopita kufungwa kwa bao 1-0 na Azam FC katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Taarifa kutoka kwa watu wa karibu na kocha huyo zinasema Gamondi alipokea wito wa kikao hicho, lakini akaomba udhuru kwamba atawaona leo viongozi wake. . #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli visit the next post #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj





